Hapa Kinana anataka kutuambia nini katika picha hii? Ni viatu vimembana ameamua kutembea pekupeku?
View attachment 151527
Hiyo sehemu ni wapi?
It's so beautiful, samahani mleta mada.
Hapa Kinana anataka kutuambia nini katika picha hii? Ni viatu vimembana ameamua kutembea pekupeku?
View attachment 151527
ningejenga crib hapo. Hiyo prime area, sema wabongo hatujui nini tunacho.vipi umependa huo mchanga au? Inaonekana wewe fundi ujenzi. Hebu tuambie ukweli nini kimekuvutia hapo ndo tukwambie kuwa ni wapi!!
unapotoa post tumia akili