Kinana ameiva au amechacha?

Kama ni mboga, basi Kinana amechacha. Nachukua nafasi hii pia kumpongeza Mh. Bernard Membe kwa tamko lake la jana. Hakika Tanzania tunahitaji Viongozi wa aina yake! ambao siyo Waoga, Wanafiki, Wezi na Wasio jiamini.

"Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti". Anayestahili kutukuzwa ma kuabudiwa ni Mungu pekee. Mwanadamu ni mavumbi tu.
Sidhani kama Tz nzima inawanasiasa kama Bernard Membe wafikapo 10.....tunahitaji wana siasa kama huyu ili kubadili muelekeo wa nchi.....mtu moja kubadilisha mfumo wa chama na malengo na wote wanamufuata tu wakiwemo maraisi wasitaafu
 
Naunga mkono hoja
Hii michezo yote walengwa ni wapinzani waingizwe "king" na wataingia tu. ccm ni mabingwa kwenye haya mambo.Sa sijui hapa wanaandaa mtego gani? au wanamwandalia njia Membe akagombee upinzani?



amini! amini! nawaambieni mbowe ni ccm aongozaye chadema
 
Huyu usijilinganishe naye amekuwa waziri wa kanali wa jeshi .waziri wa ulinzi.spika wa bunge la Africa mashariki ,katibu mkuu wa chama na manager campaign wa ccm wewe kikatuni usijilinganishe naye
Kikatuni mama yako
 
Back
Top Bottom