Kinana Akigonga Chai na Ugimbi

Kuna ile ya Nape amevunjika mkono tupia humu aje atueleze kilichomsibu
 
Hayo siyo naisha yake hata kidogo, anatukaghai wananchi, akimaliza ziara hizo anafunga safari ya kwenda kunywa chai New York huku wananchi waliorubuniwa wakibaki na Maisha yao ya kawaida ya uji wa chumvi na ndimu!
 
Alitakiwa atafute sababu kwa nini wanakula hivi. Sio kupiga nao picha.
 
Duuh huyu kinana anakula utadhani analia!! Kweli chama cha majangiri kina mambo lol!!
 
Muongo mkubwa huyo anajifanya anakula vitu vya hali ya chini mnafik huyo
 
Alitakiwa atafute sababu kwa nini wanakula hivi. Sio kupiga nao picha.
Kwani kula chai na ugimbi kuna ubaya gani?.anachofanya yeye hapo amejumuika na hao wananchi wa kawaida kupata nao chakula.
au unadhani serikali ina wajibu wa kugawa sausage na sandwitch kwa raia wote kwa ajili ya breakfast?.

kinana mnamdharau sasa,majibu ya anachokifanya ni disemba 16.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…