Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Mnamshangaa Magufuri wakati yeye anaelewa alikuwa anafanya kazi na si maigizo kama nyie ..kapiga kazi na kazi imeisha mtaani sahivi kaanza na kupanga kikosi tayari, nyie endeleeni kutengeneza maigizo huko serengeti
Huyu ndo Magufuri, hapa ni kazi kwa kazi ..Hapa ni kazi tu.


Wee ni jinga ...kijijini kwenu nilienda juzi kule kagera hajuna lami wala kisima cha maji achilia mbali Umeme, alaf unaleta maneno APA! 50 years ccm hakuna kitu bado unakenua tu!!
 
Watz hawadanganyiki tena wala awachezewi tena."hakuna jipya ambalo ccm wanalo"nyoka wa makengeza ni jembe/shujaa"lkn ENL fisadi kwakuwa yupo upinzani.
 
Tna Imani na kiongozi wetu magufuli, mipango hii na mikakati mingine mbali mbali inaonyesha dhahiri ni kiasi gani mgombea huyu amejipanga na anaimani kubwa kua atashinda hivyo anaaanza kuandaa utaratibu wa namna atakavyowatumikia wananchi, Ni ushauri wangu kwa kila kijana kuweza kuitimia haki yao yakikatiba kuweza kupiga kura na kumchagua kiongzi ambaye wananaminikua anaweza kuleta mabadiliko ya kweli, anaweza kutuufikisha tunapotaka na anaudhubutu kwa hilo. Niwatakie kila la kheri na uchaguzi mwema.
 
Nahisi Chama cha Mapinduzi ni moderator pia humu, kwanini Posts zetu zinafutwa hivi ilhali hazijavunja sheria yeyote ya JF? Just connecting dots...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeahidiwa ukuu wa wilaya nini?
Andika maumivu,maana kwenye ilani ya CDM hakuna kitu kama hicho
hizi ndizo fedha zitakazosaidia watoto wasome bure mpaka chuo kikuu
tena elimu bora,nakushauri anza kujituma.Vya kunyonga mwisho tarehe 25.10.2015

Hapana nimeuliza ili nione tofauti yake na jk.
 
Mkakati huu utawasaidia kuweza kufahamu ni maeneo yapi yenye matataizo zaidi na namna ya kuweza kuyakabili. Tunahitaji wtu wenye yhakika na wananchokifanya, sio watu wa kubabbaisha na kulaghai watanzania. Magufuli anajiamini kwenye analolifanya anajua watanania wanahitaji nini na kwa wakati gani...Magufuli for Change M4C
 
ccm will never do anything new, tulikuwa na matumaini makubwa kwa kikwete 2005, ona anaiacha nchi vp sahv kila mtz anaomba mabadiko yatokee.mnafikiri ccm itafanya mabadiliko gani aliyoshindwa kikwete???
 
Ht mkiongeza namba ya mikutano,ht mkiandika uwongo,ht mkiongeza chumvi mpk na sukari lkn ccm haishindi mwaka huuu na rais ni lowasa ht viongoz wa juu wa ccm wanalijua hilo vzr sn

Yani wanavyohangaika kupigana na wakati, hayo yoooote wamegundua hawakuyafanya walipoaminiwa, Leo wanataka afanye yoooote siku tu akiapishwa...Na watu wanashangilia, hahaaa kweli chizi hawazi.
Miaka 50 hawakujali hao wasomi wala kuyaona hayo, siku moja tu ya kuapishwa yatawezekana kweli? Wajinga ndo waliwao.
 
Back
Top Bottom