Kinadada week end hii na nyie lipeni bill

Kinadada week end hii na nyie lipeni bill

kesho nitakupitia aisee twende tukapunge upepo, najua unapenda sana yale mambo yaleee

Naona misschagga kanijbiaa basi mtatoka nae badala yangu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia siku za stress kwa wanaume mjini ni wiki end inapofika aisee kina dada utasikia nataka kwenda saloon,ooh nirushie vocha,mara lunch,ikija bill anatambua macho kama kiboko au mamba.Halafu unamlainisha kwa kumwita honey,dear,baby.kwendaaaaa.

Me i don care so long namupenda ni haki yake kunitumia kama mimi ninavyomutumia
Halafu nikwambie kitu jembe afrika hakuna kitu bomba kama kumhonga mwanamke. Mimi binafsi huwa najisikia vizuri mno inapofika hiyo moment! !!
 
Kwendaaa - ina maana unafukuza mapema? Hutaki gozigozi

Kakutana na wauza nyama huyo !wapita njia nipe nikupe
Kama kweli una mamito wako liwazo la moyo wako! Faraja ya hisia zako na mtima wako hutaona hasara kuvunja kibubu hata kidogo
Hakuna kitu kizuri kama kumfanya mpenzi wako ajisikie furaha ,akudekee aringeringe alie kidogo anune kidogo kisha atabasamu kishapo acheke cheko la mahaba!
unaukumbuka ule wimbo wa Mr blue? TABASAMU NIPATE FURAHA.....!!!
 
Ukisikia siku za
stress kwa wanaume mjini ni wiki end inapofika aisee kina dada utasikia
nataka kwenda saloon,ooh nirushie vocha,mara lunch,ikija bill anatambua
macho kama kiboko au mamba.Halafu unamlainisha kwa kumwita
honey,dear,baby.kwendaaaaa.

Acha kulalamika njoo Kebbys hapa mwenge nikupe offer.
 
its only 4th April keshafulia.

Huna hela si ulale!!
 
Kakutana na wauza nyama huyo !wapita njia nipe nikupe
Kama kweli una mamito wako liwazo la moyo wako! Faraja ya hisia zako na mtima wako hutaona hasara kuvunja kibubu hata kidogo
Hakuna kitu kizuri kama kumfanya mpenzi wako ajisikie furaha ,akudekee aringeringe alie kidogo anune kidogo kisha atabasamu kishapo acheke cheko la mahaba!
unaukumbuka ule wimbo wa Mr blue? TABASAMU NIPATE FURAHA.....!!!
Si unaniona mpenzi ...
Wazushi nao hawaishi bifu ... ingawa kutesa siyo kila siku
Hisia za kimanga ... sio za ....
Wezere ... wezere
 
tulitofautishwa mapema sana toka tulipoumbwa..

mwanaume atakula kwa shida!-- atakula nini?- THINK!

hio adhabu ndio inayotuandama katika kila nyanja ya maisha,

mwanamke kaumbiwa shida moja tu, kuzaa kwa uchungu tu!-- mengineyo ni kazi ya mwanaume tu!
 
hapana mkuu hawa sasa wamezidii aisee kwa mfano uliahidi wkend mtakutana mtoke out bahati mbaya ukapatwa na tatizo ukamwambia leo hatuta meet kuna tatzo lazima uachwe siku hiyo hiyo hawa viumbe sio waelewa.wachache sana waelewa wengi wao wapo after something.wanapenda vya bure sanaa
 
Wapi Lala 1, kijana anahitaji muuongozo wako?
 
Me i don care so long namupenda ni haki yake kunitumia kama mimi ninavyomutumia
Halafu nikwambie kitu jembe afrika hakuna kitu bomba kama kumhonga mwanamke. Mimi binafsi huwa najisikia vizuri mno inapofika hiyo moment! !!

hapo kwenye red mimi kwangu big no.nitakupa zawadi sio eti nakupa ili unipe penzi so usipo kuwa nazo za kuhonga??
 
Back
Top Bottom