64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 565
Teheeee anahofia mwezi hautakutana lolits only 4th April keshafulia.
Huna hela si ulale!!
Teheeee anahofia mwezi hautakutana lolits only 4th April keshafulia.
Huna hela si ulale!!
hapana mkuu hawa sasa wamezidii aisee kwa mfano uliahidi wkend mtakutana mtoke out bahati mbaya ukapatwa na tatizo ukamwambia leo hatuta meet kuna tatzo lazima uachwe siku hiyo hiyo hawa viumbe sio waelewa.wachache sana waelewa wengi wao wapo after something.wanapenda vya bure sanaa
pokea like hiyoo
oooh!!!?
its only 4th April keshafulia.
Huna hela si ulale!!
na siku nikizipata, utanikomaje miss chagga
hahahaaaaaaaaaayaaa
nilichelewa kuiona hii