falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,227
- 9,356
- Thread starter
-
- #61
Naona wameamua kuitana ili kukukomoa.
Ila message sent.
mfano apa chuo unaweza ukaskia mtu anaita bby,wanapigana makiss hamna cha kuwafanya.
Tuwaache watu wazima na uamuzi wao..
siamini kama nimesoma hii post kumbe ndo maana umetutenga tusisome ili mbwatuke vizuri....!!!!!!
Love you too darling. Hivi tuende zetu holiday mombasa basi, ama twende dubai mpenzi? Nimekumisi haswaa
Oh beeeiib!Love you too darling. Hivi tuende zetu holiday mombasa basi, ama twende dubai mpenzi? Nimekumisi haswaa
Oh beeeiib!
Thats very sweet of uuuu!
Nini hiki?!
Yani imebidi nirudie kucheka
Wapo humu humu JF, na kwenye uzi huu wamejipambanua wazi wazi, bila kificho!
unachekelea nini bibie?
Nachekelea comments
yesu anakuhitaji
Nami namuhitaji
muache kupigana deep kisses
Na nyie muache hayo makitu. Mungu hapendi