Kinachowapata ACT Wazlendo:CHADEMA hamko salama

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,323
Niwambie tu hii mbinu ya kuwapa watu ulaji siku si nyingi hata nyie inaweza ikawakumbuka hivyo inapaswa kuwa agenda katika vikao vyenu na ikibidi muiwekee mikakati jinsi ya kuikabili.

Ukweli ni kwamba kama kungekuwa na dhamira njema basi tungebadili katiba kuruhusu uwepo wa serikali ya mseto lakini najua hili kufanyika ni ndoto.


Tatizo kubwa la wanasiasa wengi ni kuwa wamegeuza siasa kuwa ajira na ndio maana wengi hawana misimamo.

Mtu anaeingia kwenye siasa kwa lengo la kupata pa kutokea,mtu wa aina hiyo anaweza kutokea hata dirishani badala ya mlangoni.
 
Tatizo letu unafiki. Any way, ikitokea Rais akakupa jukumu la kutekeleza ambalo halivunji sheria na ni kwa maslahi ya nchi, nawe ukakataa bila sababi za msingi, hiyo ni dharau isiyostahili kwa mkuu wa nchi.
 
99% ya wanasiasa wa Tanzania ni watu walioingia kwenye siasa ili kujipatia mkate wa kila siku, ndio maana hata hawawezi kuendelea kusimamia kauli zao mbele ya pesa(ulaji)

Watanzania bado hawajashtuka!
 
Political honestly is not our priority to make people liberated. Tatzo UKIRO (upungufu wa kinga rohoni) umetawala nafsi zetu na itatugharimu xn
 
Mwanasiasa yupo kwa ajiri ya kuitumikia nchi apate nafasi ya kuteuliwa na raisi aikatae basi huyo hafai,
 
Ni kweli ila tunaangalia dhamira ambayo bahati mbaya ni siri ya mtu.
Leo nimeona mahali Anna Mghwira akiandika kuwa amejivua uanachama wa ACT ili atumikie cheo chake kipya. Nikamkumbuka wajina wake, Anna Kilango. Jee baada ya muda mfupi kama Anna mwenzie akilikoroga na kutimuliwaatarudi ACT au atakuwa mwanachama wa CCM?
 
Leo nimeona mahali Anna Mghwira akiandika kuwa amejivua uanachama wa ACT ili atumikie cheo chake kipya. Nikamkumbuka wajina wake, Anna Kilango. Jee baada ya muda mfupi kama Anna mwenzie akilikoroga na kutimuliwaatarudi ACT au atakuwa mwanachama wa CCM?
Tatizo lao huwa hata hawakai na kujiuliza kuhusu kesho mradi tu wamepewa cheo.Bora ingekuwa ni JK lakini sio huyu anaewza kukufukuza wakati wowote.

Anyway,shauri yao
 
Back
Top Bottom