Kinachotokea Siku ile mtu anavyochukuliwa MSUKULE

Kinachotokea Siku ile mtu anavyochukuliwa MSUKULE

Huwezi ukamchukua demu msukule uwe unamla mzigo
Hapana hilo haliwezekani, kwani hadi uwe na uwezo wa kumchukua mtu msukule inamaana wewe tayari ni mchawi, na kama wewe ni mchawi tayari unaouwezo wa kumuingia mtu yeyote yule usingizini bila kumuua. Mchawi pia anaweza kukuingilia kinyume na maumbile. Kwa hivyo sio lazima akufanye msukule
 
Naona umegongelea nyundo, Nini Siri ya wachawi kuishi mda mrefu
Kwanza kabisa wachawi wanaongozwa na roho ya kishetani (evil spirit) au viumbe vibaya vilivyo ndani yao. Wachawi kwa ujumla hutumia ujuzi, na uchawi ili kudumisha afya zao. Matokeo yake Wachawi wanaongoza kwa kuishi muda mrefu. Wachawi wengi huishi miaka 80, 90 au 100 au zaidi.
 
Kigoma imepakana na mkoa wa Katavi wenye makao yake makuu Mpanda.

Kabila kubwa ni Wapimbwe, Wabende, Wafipa, kiasi kidogo Wanyika na Wanyamwezi kule upande wa Mashariki.

Haya makabila yote Yana ushirikina wa hali ya juu.

Makabila mengi yamepakana na Kongo kupita Ziwa Tanganyika, Sasa iweje usiwagusie wakati hayo makabila uchawi ni kama mchanga.
Makabila hayo yote kwa asilimia 90 zana wanazitoa nchini Kongo
 
Kumbe ikitokea mtu amekufa mazingira ya kutatanisha aitwe mchungaji na walokole waombe kabla ya mazishi! Wanaweza kumrejesha mtu huyo.
Hapana sio kila mtu anayekufa mazingira ua utatanishi inakua ni uchawi, wakati mwingine ni MUNGU mwenyewe
 
Niliwahi sikia mahali kwamba hawa ndugu zetu wachawi wana renew miaka yao ya kuishi kwa kutoa kafara vichanga?
 
Kigoma imepakana na mkoa wa Katavi wenye makao yake makuu Mpanda.

Kabila kubwa ni Wapimbwe, Wabende, Wafipa, kiasi kidogo Wanyika na Wanyamwezi kule upande wa Mashariki.

Haya makabila yote Yana ushirikina wa hali ya juu.

Makabila mengi yamepakana na Kongo kupita Ziwa Tanganyika, Sasa iweje usiwagusie wakati hayo makabila uchawi ni kama mchanga.
apo ongezea wanyiha na wenzao wanyamwanga. hlf uko unakuta kuna umaskini wa hatari
 
Sio lazima uchawi hata mazingaombwe huweza kufanya hivyo
Siyo mazingaombwe yani iwe uhalisia kabisa mtu anabadilishwa kutoka kuwa ME hadi kuwa KE au kutoka kuwa KE hadi kuwa ME na akaendelea na maisha yake kama kawaida kabisa
 
Makabila hayo yote kwa asilimia 90 zana wanazitoa nchini Kongo
Ningekuwa Rais wa Kongo ningewatumia hao wachawi kuwaroga na kuwaangamiza watu wote na mataifa yote wanaoiba rasilimali za Kongo na wanaoisababishia nchi vita visivyokoma
 
Nasikia kuna misukule inachukuliwa kwa kufanywa watumwa ngono
Kwahiyo yawezekana Masogange alichukuliwa msukule.....?
Lile kalio daaah! kweli mdada anayeringa,ukimuonyesha video za yule dada,ananywea kabisa... yaani figa matata Sana.
 
Kuna kitu hapo sijaelewa....umesema wachawi hawawezi kutoa roho za watu bali ni mungu...pia ukasema wachawi wanachukua misukule kwaajili ya kuwala nyama sasa akiliwa nyama ankuwa bado hajatoka roho.

pia nataka kujua mtu akifanywa msukule, anaweza kuishi kwa mda gani je, akifa mazishi yake yanafanyikaje...maana katika ulimwengu wa kawaida tulishamzika.
 
Back
Top Bottom