Mkuu umesema kweli, wangeka mchezaji yeyote wa ulaya ningemfahamu. Tatizo tv zetu kiwango duni, hata replay shida.Mimi hata siwajuagi wachezaji wa bongo labda angekuwa wa athletic bilbao au benfica. Anaitwa nani?
Soma uzi kwa umakini..............ama unafuatilia medani ya soka utajua ni kwa nini Escoba Wajamaica walimuua, au Beckham aliomba ulinzi au ni kwa nini John Terry alinyang'anywa unahodha wa England au kwa nini Taita haitwi timu ya Taifa etc.........Kwa starehe zake wewe inakuhusu nini?
Anaitwa Mrisho Ngasa mtoto waa kiungo wa zamani wa Timu ya PAMBA, sIMBA NA tAIFA sTARZ, BUT KAMA HUWAJUI HUWAJUI TU,SIDHANI HATA KAMA HILI JIBU LITASWIHIMimi hata siwajuagi wachezaji wa bongo labda angekuwa wa athletic bilbao au benfica. Anaitwa nani?
Anaitwa Mrisho Ngasa mtoto waa kiungo wa zamani wa Timu ya PAMBA, sIMBA NA tAIFA sTARZ, BUT KAMA HUWAJUI HUWAJUI TU,SIDHANI HATA KAMA HILI JIBU LITASWIHI
Mimi hata siwajuagi wachezaji wa bongo labda angekuwa wa athletic bilbao au benfica. Anaitwa nani?
Kama ni Andreas Escoba, huyu alikuwa ni beki wa timu ya Taifa ya Colombia si Jamaica na kama ni Pablo Escoba huyu pia alikuwa wa kutoka Colombia lakini shughuli yake kubwa ilikuwa ni biashara ya mihadarati, najaribu tu kuweka mambo sawa.Soma uzi kwa umakini..............ama unafuatilia medani ya soka utajua ni kwa nini Escoba Wajamaica walimuua
Nashukuru sana Mku kwa kuweka sawa, ila wacheza kamari ndio waliomuua kwa kwanyima kwa kusababisha kufungashiwa virago hivyo kutoendelea kufaidi uhondo wa World cup kwani aliifungisha timu yake kwa madai usiku uliofuatia mechi alikesha na toto's clubKama ni Andreas Escoba, huyu alikuwa ni beki wa timu ya Taifa ya Colombia si Jamaica na kama ni Pablo Escoba huyu pia alikuwa wa kutoka Colombia lakini shughuli yake kubwa ilikuwa ni biashara ya mihadarati, najaribu tu kuweka mambo sawa.