M mkata uzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2025 Posts 3,219 Reaction score 9,656 Oct 12, 2025 #1 Halafu hao walioshika simu ni keyboard warriors watakuwa mstari wa mbele kulalamika ila wapo vyumbani😂😂
Halafu hao walioshika simu ni keyboard warriors watakuwa mstari wa mbele kulalamika ila wapo vyumbani😂😂
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,710 Reaction score 18,007 Oct 12, 2025 #2 HUuu uzi mnaurudia rudia sana, mods unganisheni
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,969 Reaction score 25,314 Oct 12, 2025 #3 Mtoa mada unakatwa na Wasira cc: Lord Denning
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 Oct 12, 2025 #4 mkata uzi said: Halafu hao walioshika simu ni keyboard warriors watakuwa mstari wa mbele kulalamika ila wapo vyumbani😂😂 View attachment 3487272 Click to expand... Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua. Share na mwenzako
mkata uzi said: Halafu hao walioshika simu ni keyboard warriors watakuwa mstari wa mbele kulalamika ila wapo vyumbani😂😂 View attachment 3487272 Click to expand... Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua. Share na mwenzako
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,139 Reaction score 871,458 Oct 12, 2025 #5 Hapo sio bongo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,202 Reaction score 196,945 Oct 12, 2025 #6 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,462 Oct 12, 2025 #7 Tabia za kibongo hizo Mbowe alijikuta anatoka yeye na Binti yake