Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

Wivu unaongeza msongo wa mawazo.
Kuwa makini...usije ukajinyonga.
Almasi ana uhakika wa kuishi maisha ya kifahari hadi kufa kwake....achana na almasi kwa sasa, tafuta pesa wewe.
 
Kwasababu dalili zote zilionesha Burna atashinda.

Wewe unafikiri kwanini walikuwa nyuma ya Burna na siyo mwingine ?
 
Wivu unaongeza msongo wa mawazo.
Kuwa makini...usije ukajinyonga.
Almasi ana uhakika wa kuishi maisha ya kifahari hadi kufa kwake....achana na almasi kwa sasa, tafuta pesa wewe.
Fanya mambo yote lakini Acha Kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwao!
 
Ukute hata kuvaa nguo za kimasai ni adhabu ''muweza yote'' kaitoa ili mtu akapigwe na baridi kali ukumbini

Huwezi jua aiseeeeeeeee
 
Fanya mambo yote lakini Acha Kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwao!
Hakuna aliyepewa umuhimu hapa...

Nikweli " Fanya mambo yako, acha kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwako".
Ila... Ni uchawi na husda kumtakia mabaya mtu ambaye hajakufanyia mabaya.
Ishi maisha yako..
 
Msanii pekee kuchukua tuzo ya BET Tanzania ni Rayvan akiwa WCB hapohapo na sina hakika kama tangia 2010 mpaka 2021 kama kuna msanii nje WCB amekuwa nomineted BET zaidi waliopo WCB huku Diamond akiwa nomineted mara 3 lakini hajafanikiwa kushinda ila Rayvan alikuwa Nominated mara moja kachukua tuzo hiyo mwaka 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ya rayvan usiifananishe na hizi, plz ficha ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…