Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Mke wako Sky Eclat likes this😀Uzuri bado anajivunia tuzo ya kofia aliyotunukiwa na mwendazake kipindi cha kampeni...
Mke wako Sky Eclat likes this😀Uzuri bado anajivunia tuzo ya kofia aliyotunukiwa na mwendazake kipindi cha kampeni...
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.
"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"
Diamond hayupo
Frontline in more ways than one, tulikuwa tunawashangaa wanaharakati kwa kumpinga Diamond lakini BET wenyewe wameweka kipaumbele sana hicho kuwa mstari wa mbele kwa njia zaidi ya moja. Naseeb ukiachana na nyama ya ng'ombe anazogawaga iddy basi hayupogo kutetea wananchi tena.
Bongo kuna mziki wa kipuuzi sana, imagine mtu anaimba Sandakalawe.
Kwasababu dalili zote zilionesha Burna atashinda.Kitu ambacho nasikitika ni wanaharakati kudhani Diamond hajashinda tuzo kwa nguvu yao. Eti Burnaboy kashinda kwa sababu yao. Kwenye kuwania walikuwa wengine pia, sasa utafikiri Domo pekee ndiye kakosa.
Bongo kuna vichekesho sana.🤣🤣😂😂
Fanya mambo yote lakini Acha Kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwao!Wivu unaongeza msongo wa mawazo.
Kuwa makini...usije ukajinyonga.
Almasi ana uhakika wa kuishi maisha ya kifahari hadi kufa kwake....achana na almasi kwa sasa, tafuta pesa wewe.
Hakuna aliyepewa umuhimu hapa...Fanya mambo yote lakini Acha Kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwao!
Msanii pekee kuchukua tuzo ya BET Tanzania ni Rayvan akiwa WCB hapohapo na sina hakika kama tangia 2010 mpaka 2021 kama kuna msanii nje WCB amekuwa nomineted BET zaidi waliopo WCB huku Diamond akiwa nomineted mara 3 lakini hajafanikiwa kushinda ila Rayvan alikuwa Nominated mara moja kachukua tuzo hiyo mwaka 2017.Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.
"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"
Diamond hayupo
Frontline in more ways than one, tulikuwa tunawashangaa wanaharakati kwa kumpinga Diamond lakini BET wenyewe wameweka kipaumbele sana hicho kuwa mstari wa mbele kwa njia zaidi ya moja. Naseeb ukiachana na nyama ya ng'ombe anazogawaga iddy basi hayupogo kutetea wananchi tena.
Bongo kuna mziki wa kipuuzi sana, imagine mtu anaimba Sandakalawe.
Achana na hiyo roho ya kwanini, itakutesa maishani.Angeshinda hii tuzo majivuno yangeongezeka bora amekosa
Watanzania wanaandamana kwenye keyboard as https://jamii.app/JFUserGuide
Roho yakwanini kwakusema ukweli, anatakiwa ajifunze na apunguze majivunoAchana na hiyo roho ya kwanini, itakutesa maishani.
Uzuri bado anajivunia tuzo ya kofia aliyotunukiwa na mwendazake kipindi cha kampeni...
Polisi CCM wangepata nafasi ya kupiga kura
Meneja wake Babu tale ndo alisababisha akashindwa tuzo cheki huo msuti wake hapo mbele.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
bibi mie sitak mbavu zangu khaaah,BET waliipokea kipindi cha kampeni.
Ile ya rayvan usiifananishe na hizi, plz ficha ujinga wako.Msanii pekee kuchukua tuzo ya BET Tanzania ni Rayvan akiwa WCB hapohapo na sina hakika kama tangia 2010 mpaka 2021 kama kuna msanii nje WCB amekuwa nomineted BET zaidi waliopo WCB huku Diamond akiwa nomineted mara 3 lakini hajafanikiwa kushinda ila Rayvan alikuwa Nominated mara moja kachukua tuzo hiyo mwaka 2017.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu hakwenda kusaidia wizi wa kura kule BET?BET chief judge in Mataga dreams
View attachment 1833223