Kinachofanywa na wengi humu sasa hasa wapinzani ni kuhamasisha uzembe na Uvivu

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
Hakuna anayehubiri kuwa inawezekana hali ya Mwananchi mmojammoja ikafanikiwa bila kutegemea serikali

Kuna vuguvugu la kuwaandaa wananchi wawe tegemezi na walalamikaji

Malalamiko yakizidi yanazaa upofufursa na ulegevu wa fikra

Tuache hizo,

napita....
 
Mshaiba pesa za watu sasa mnajikinga na mashambulizi anayotakiwa apewe kibaka.. Ila Mungu anawaona... Nyie fanyeni dhihaka zote hadi ziishe... Maana hizi sinema mnazotengeneza ni too childish ila zinamwisho hakuna kibaya kinachopendwa tambua hilo... Mmewaangusha wananchi
 
Back
Top Bottom