Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Habari wanajukwaa....
Mimi kama kada wa CCM mwenye Mawazo Huru,ninayekubali kukosolewa na kukusoa panapobidi hata iwe ndani ya Chama Changu,naomba nipingane vikali na Serikali juu ya kinachofanywa eneo la Kimara.
Haiwezekani Kesi ipo Mahakamani lakini nyie mnafanya maamuzi ya kuwabomolea wananchi Nyumba zao,ni kinyume na sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hatuwezi kwenda kwa style hii ya kuignore Mhimili huu wa Mahakama,hapana.
Zaidi ya hapo msivokua na UTU mnawabomolea wananchi nyumba zao bila taarifa bila utaratibu maalumu,hawa watu wanaenda kuishi wapi,hawa watu muda huu wanaenda kujihifadhi wapi? Kwanini msingetenga eneo maalumu kuwahifadhi hawa raia,mnawafanya wakimbizi ndani ya nchi yao,sio haki,sio UTU.
Kama kuna mwanaCCM anayefurahi na kufurahia hili jambo Serikali ya Chama Chetu inafanya Ajitafakari mara mbili,la sivyo hata yeye amekosa UTU.