Kinachofanyika Simba hakina tofauti nazis~ holocust

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,099
Reaction score
803
Umofia Wana Lunyasi !
Niende kwenye mada,
Simba kufungwa mara tano consecutively is not accidentally but planned watu wasione Jambo kubwa mfano mzuri kutoka 2000s - 2010 Yanga alikunjwa kifo cha mende.

Kama ni issue ya championship Yanga amefurahia moment kama hii 2012- 2014/2015, Azam akafanikiwa baada ya hapo Yanga ikarudi tena Wanajangwana kiufupi Kwa muda kidogo walivuna ubingwa mara NNE "4" baada ya hapo Wana Lunyasi wakaingia mzigoni pia wakavuna mara NNE "4"
issue ya Ubingwa sio case ya kuongea Sana Kwa hawa Kurwa na Dotto.

Viongozi wa Simba hawana tofauti na Serikali ya Kinazi (Nazism 1933-1945) ni watu hawajali maumivu ya mashabiki ukweli usemwe pale Simba hamna Coach ukiachana kuwa na average players wengi.

Simba inamsajili Kocha ambaye haja- prove kokote kiuhalisia Simba ya sasa ni kubwa Fadlu bado hana uwezo wa kushindana technically mfano game ya Berkane upo away unafanya analysis unasema Berkane ni wazuri Dakika 20 za Mwanzo lakini unashindwa kusuka mpango Wa kuzuia opponent unafungwa ndani ya hizo 20 DKK.

Unacheza na Yanga yenye watu wakomavu na Wana speed kama Pacome ,kiungo mwenye passing murua Aucho unashindwa kuweka mpango na bahati mbaya unamtoa Kagoma ambaye ni clear mzuri unaacha Ngoma ambaye hafiki kwenye matukio Yanga wanapata upenyo wanateleza kama Cobra kwenye migomba.

Viongozi wa Simba wanatuletea reckless players like Jean Ahoua, Budo (dhaifu Sana), Caribou, Mavambo etc..
Kiukweli hawa viongozi wetu hawajali hisia za mashabiki huwezi kuleta wachezaji wa 200k ukategemea makubwa plus Coach mdogo kwenye coaching career.

Ifike wakati tuamue kama Mo Kwa sasa hawezi kuleta wachezaji type za Miquisone, Chama , Okwi, Bwalya etc .. akae pembeni. Wanachama itabidi tulazimishe Bodi ifanye mkutano wa emergency ili watu tupaze sauti zetu. Kwa sasa Mangungu hana sifa za kuwa mwenyekiti wetu kashindwa ku- present interest za wapenzi na wanachama wa Simba SC possibly Mo anafanya business by cutting off club expenditure hapo Chair wetu ndio inatakiwa asimame Kwa niaba yetu badly Mzee yupo kama kisiki.

Viongozi wa Simba mnachofanya ni kuua watu kimya kimya "soul" mnasababisha injuries kwenye vichwa vya watu hakuna tofauti na HOLOCUST.
Mangungu achia nafasi umeshindwa Mwaka huu ubingwa umeenda Kwa Timu mbovu baada ya kufunga Timu dhaifu zaidi isiyo na mbinu.

Naomba uongozi utafute Namba 10, centre back, Namba 9 Wa maana achana na Mzee wa kuchoma Fondoh.
Pia lipeni malimbikizo ya Bonus za wachezaji hao ni foreigners hawana uchungu na Timu wanauchungu na pesa usipowalipa watakufurahisha.

Mangungu mara nyingi huwa unasoma nyuzi za sports humu nakuomba Mzee wangu nenda Kilwa Kusini watu wale pesa za 10% na Ubunge hutapata maana umeumiza Wana Simba Kwa muda sasa.
(Tuhuma za malimbikizo ya Bonus na 10% are just assumption not be taken seriously).
Naomba uongozi upokee ushauri wangu tunataka ubingwa mara NNE "4" ni zamu yetu.
Merci Merci guys !
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mheshimiwa Hichilema kwa nini Simba inasajili wachezaji legelege wengi tena kwa mbwembwe nyingi badala ya kusajili wachezaji shupavu kama baadhi ya wale wa Singida Black Stars au Tabora United?.

Kuna haja gani ya kumiliki mabeki wazito wa kigeni wakati wapo Waswahili wepesi wazuri tu kuliko akina Kalaboue?.

Mwaka huu tumieni nguvu nyingi kuchukua wachezaji wanaocheza ligi ya hapahapa Tanganyika hata kama ni wachezaji wa kigeni kutoka Azam fc, Jkt, Singida Black Stars, Tabora United n.k kisha muongeze wawili au mwisho watatu wasiotoka ligi yetu.

Mkifanya hivyo ubingwa wa NBC na CRDB Cup mtaupata, ila mkiendelea kusajili wachezaji aina ya Mtale, Ahoua, Okojepha, Kalaboue, Ateba n.k, mtaishia kushinda mechi laini na ubingwa mtaendelea kuusikia.

Mwisho angalieni upya ubora wa kocha, anacheza mpira wa hovyo yaani back pass na sideway pass ndo nyingi na timu iko slow mno.

Pia kocha huyu wa sasa anaua viwango vya wachezaji wengi kwa kuwanyima nafasi ya kucheza, mfano ni Chasambi, Balua, Mzamiru, Mavambo, Kijili na wengineo.

Kupanga ni kuchagua, kazi kwenu
 
Kosa la Mangungu ni lipi mleta uzi?
Katiba ya Simba inasemaje kuhusu majukumu ya Mangungu?
 
Kwani chini ya uwongozi wake timu inafungwa na kupoteza ubingwa mara nne hilo tu huoni inatosha kiongozi mwenye nia njema kuachia madaraka na kupisha wengine?
Sajili za simba ni dhaifu na wachezaji wanao sajiliwa wengi ni wastaafu katika soka au ni avarage player ila wanakuzwa kupitia media na uwanjani Hola. Simba itafute mpinzani mwingine kwa sasa ila siyo Yanga.
 
Umofia Wana Lunyasi !
Niende kwenye mada,
Simba kufungwa mara tano consecutively is not accidentally but planned watu wasione Jambo kubwa mfano mzuri kutoka 2000s - 2010 Yanga alikunjwa kifo cha mende.

Kama ni issue ya championship Yanga amefurahia moment kama hii 2012- 2014/2015, Azam akafanikiwa baada ya hapo Yanga ikarudi tena Wanajangwana kiufupi Kwa muda kidogo walivuna ubingwa mara NNE "4" baada ya hapo Wana Lunyasi wakaingia mzigoni pia wakavuna mara NNE "4"
issue ya Ubingwa sio case ya kuongea Sana Kwa hawa Kurwa na Dotto.

Viongozi wa Simba hawana tofauti na Serikali ya Kinazi (Nazism 1933-1945) ni watu hawajali maumivu ya mashabiki ukweli usemwe pale Simba hamna Coach ukiachana kuwa na average players wengi.

Simba inamsajili Kocha ambaye haja- prove kokote kiuhalisia Simba ya sasa ni kubwa Fadlu bado hana uwezo wa kushindana technically mfano game ya Berkane upo away unafanya analysis unasema Berkane ni wazuri Dakika 20 za Mwanzo lakini unashindwa kusuka mpango Wa kuzuia opponent unafungwa ndani ya hizo 20 DKK.

Unacheza na Yanga yenye watu wakomavu na Wana speed kama Pacome ,kiungo mwenye passing murua Aucho unashindwa kuweka mpango na bahati mbaya unamtoa Kagoma ambaye ni clear mzuri unaacha Ngoma ambaye hafiki kwenye matukio Yanga wanapata upenyo wanateleza kama Cobra kwenye migomba.

Viongozi wa Simba wanatuletea reckless players like Jean Ahoua, Budo (dhaifu Sana), Caribou, Mavambo etc..
Kiukweli hawa viongozi wetu hawajali hisia za mashabiki huwezi kuleta wachezaji wa 200k ukategemea makubwa plus Coach mdogo kwenye coaching career.

Ifike wakati tuamue kama Mo Kwa sasa hawezi kuleta wachezaji type za Miquisone, Chama , Okwi, Bwalya etc .. akae pembeni. Wanachama itabidi tulazimishe Bodi ifanye mkutano wa emergency ili watu tupaze sauti zetu. Kwa sasa Mangungu hana sifa za kuwa mwenyekiti wetu kashindwa ku- present interest za wapenzi na wanachama wa Simba SC possibly Mo anafanya business by cutting off club expenditure hapo Chair wetu ndio inatakiwa asimame Kwa niaba yetu badly Mzee yupo kama kisiki.

Viongozi wa Simba mnachofanya ni kuua watu kimya kimya "soul" mnasababisha injuries kwenye vichwa vya watu hakuna tofauti na HOLOCUST.
Mangungu achia nafasi umeshindwa Mwaka huu ubingwa umeenda Kwa Timu mbovu baada ya kufunga Timu dhaifu zaidi isiyo na mbinu.

Naomba uongozi utafute Namba 10, centre back, Namba 9 Wa maana achana na Mzee wa kuchoma Fondoh.
Pia lipeni malimbikizo ya Bonus za wachezaji hao ni foreigners hawana uchungu na Timu wanauchungu na pesa usipowalipa watakufurahisha.

Mangungu mara nyingi huwa unasoma nyuzi za sports humu nakuomba Mzee wangu nenda Kilwa Kusini watu wale pesa za 10% na Ubunge hutapata maana umeumiza Wana Simba Kwa muda sasa.
(Tuhuma za malimbikizo ya Bonus na 10% are just assumption not be taken seriously).
Naomba uongozi upokee ushauri wangu tunataka ubingwa mara NNE "4" ni zamu yetu.
Merci Merci guys !
Karibu jangwani we kolo
 
Mleta mada kaandika mada ndeee...fu mpaka kajichanganya!!! ukisoma utakuta sehemu anaisifia YANGA kuwa ina wachezaji bora!!
ukiendelea kusoma utakuta anailaumu simba kwa kupoteza ubingwa dhidi ya timu dhaifu ambayo ni yanga!!
 
Hatimaye ule utabiri wetu umeanza kutimia. "Hatumtaki Mangungu, mwekezaji (mmiliki halali eti..) akae pembeni, baadhi ya wachezaji hawana uwezo, kocha hana uwezo"!!

Timu ilipokuwa inafanya vizuri, hizi kelele hazikusikika! Isipokuwa sifa na tambo nyingi za ubaya ubwela ndiyo zilitawala.
 
Kwani chini ya uwongozi wake timu inafungwa na kupoteza ubingwa mara nne hilo tu huoni inatosha kiongozi mwenye nia njema kuachia madaraka na kupisha wengine?
Sajili za simba ni dhaifu na wachezaji wanao sajiliwa wengi ni wastaafu katika soka au ni avarage player ila wanakuzwa kupitia media na uwanjani Hola. Simba itafute mpinzani mwingine kwa sasa ila siyo Yanga.
Unaacha kulilia katiba ibadilishwe ili Mangungu awe na power unakuja kuongea kuwa Mangungu kafeli katika uongozi wake wakati hana nguvu yoyote ya kufanya maamuzi yeye ni kama mjumbe tu wa bodi. Wenye nguvu unawaacha ambao ni walina Mo
 
Back
Top Bottom