Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

Ni kweli ingekuwa fedheha yaani Gen. kukamatwa na vipolisi vyenye silaha kama mikuki! Bull shit kwanza mara nyingi mapinduzi yanapofanyika nchi yoyote polisi huwa lazima wavue uniform zao, maana lazima wakamatwe au kuuwawa.
 
Kichwa cha habari maelfu, ndani mamia
 
kama kawaida yetu wabongo! yaani lazima tutafute tu namna ya ku complicate mambo
 
Kwanza litoke ili dubwashika linaloitwa CCM, ,MAMBO mengine yatafuatia, ,,,,
Hayo mambo mengine ni yapi? maana yanaweza kuwa ni mambo mengine ya ajabu kuliko ya ccm,ndiyo maana nimetoa mfano wa Libya nao inaonekana walikuwa na mawazo ya kumtoa Gadafi tu na mambo mengine baadaye.
 
Hata Libya kwa shinikizo na propaganda za wazungu walisema hivyo hivyo. sasa hivi wako wapi? kubaka historia ni hatari sana kuliko kubaka mwanamke
Acheni kuwasingizia wazungu kila siku ili CCM ibaki madarakani, mtu anataka kuonga nchi bado unamtetea???!!!!!
 
hapo kwenye mabano
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama.Sasa huyu mzee kavuliwa nguo bado anatembea hadharani
 
Hizi complications nd zinafanya akili ikae sawa, sasa wewe usiependa complications soma zen tulia.
sawa nasoma zen natulia,, lakini "kutafiti" kwamba inawezekana grace mugabe ni "jasusi" la "hatari zaidi" kuwahi kutokea afrika ni ku complicate mambo!
 
sawa nasoma zen natulia,, lakini "kutafiti" kwamba inawezekana grace mugabe ni "jasusi" la "hatari zaidi" kuwahi kutokea afrika ni ku complicate mambo!

Unaweza ukabisha lakini kwa vinasaba vya wake zetu kuwa wadukuzi mi nashawishika kuamini kwamba alikuwa anatumika
 
sawa nasoma zen natulia,, lakini "kutafiti" kwamba inawezekana grace mugabe ni "jasusi" la "hatari zaidi" kuwahi kutokea afrika ni ku complicate mambo!

basi mkuu nimezima hiyo kitu maana mods nao wamezima mada yangu na wameiunganisha huku.
 
Hayo mambo mengine ni yapi? maana yanaweza kuwa ni mambo mengine ya ajabu kuliko ya ccm,ndiyo maana nimetoa mfano wa Libya nao inaonekana walikuwa na mawazo ya kumtoa Gadafi tu na mambo mengine baadaye.

Libya Gadafi hakuwa mbaya kwa watu wake Mkuu, ,,ni wazungu tu walihamua kumuua
 
Reactions: bbc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…