Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kinachoendelea zanzibar kwa sasa ni mchezo wa kitoto na mchezo huo unachezwa na mtu mzima Ccm
Wanachofanya Ccm kwa sasa ni kujenga mazingira ya kujaribu kuwapanikisha Cuf ili wakishahamaki lego lao kuu la kurejea uchaguzi litime kirahisi.
Kifupi ni uchokozi,Na wanachokoza kwa stail ya kupima urefu wa kina cha maji,Wakiona kifupi wanapitia huko huko.Huu ni wakati wa Cuf kushikamana zaidi na kuziba masikio yao juu ya matamko yasio rasmi yatolewayo na Ccm.
Endapo Cuf watanasa kwenye tundu la Ccm na habari yao itakuwa imekwesha.Nawashauri waendelee kushikamana na kusubiri matamko yenye tija toka kwa viongozi wao na si haya matamko ya Ccm yenye lengo la kuwavuruga na kuondoa utulivu uliopo znz ili wapate upenyo wakutokea na kuhalalisha marejeo batili ya uchaguzi.
Hoja kuu ni kusubiri hatima ya mazungumzo ya Dr shein na Maalim then tuone tamko lao la pamoja ni lipi.Si kelele za kila kukikucha.Ni hayo tu.