Kuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zakoWachaga inatubidi nasi tupange mikakati ya kuuinua mkoa wa Kilimanjaro kama wanavyofanya kagera.kagera ilikuwa na maendeleo sana miaka ya nyuma ila iliporomoka kwa sababu ya rushwa na kuporomoka kwa bei ya mazao na ukosefu wa meli na zao la ndizi kushambuliwa na mnyauko ambao SAA hivi umeisha kwa mda mrefu tena matatizo hayo yalishaanza kutatuliwa na rais akitia mkono wake sasa wanaamuka upya na usishangae kuiona kagera hasa bk ikiizidi Kilimanjaro kiuchumi na sisi wachaga tusibweteke siku hizi kahawa zimekufa na uzalishaji umepungua na hata ndizi tujipange upya tuache majivuno tuwafuate wahaya wanavyofanya kagera na Leo kulikuwepo azimio la kagera.
Wanawezaje kuazima magari na kubadili majina kwenye card ya gari ? Du simchezo kama ni kweli.tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Mbona walikuwa juu miaka ya nyuma kutokana na hivyo vitu nilivyovitajaKuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zako
Walikua juu ya nani?uache utaniMbona walikuwa juu miaka ya nyuma kutokana na hivyo vitu nilivyovitaja
Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa uchumi na utajiri kuanzia miaka 80 kurudi nyuma uku kielimu ikiongoza mpaka grades zikaongezwaWalikua juu ya nani?uache utani
We jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tuKagera ulikuwa mkoa wa pili kwa uchumi na utajiri kuanzia miaka 80 kurudi nyuma uku kielimu ikiongoza mpaka grades zikaongezwa
Ukweli ndo huo sababu nilishazitaja na majanga kama vita,mnyauko,rushwa,na tetemeko,MV bukoba nkWe jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tu
Simple excuse,Ukweli ndo huo sababu nilishazitaja na majanga kama vita,mnyauko,rushwa,na tetemeko,MV bukoba nk
Basi clouds media ni ya Mchaga.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Clouds media ni ya mhaya?
Unadhani Clouds ni ya Ruge?
Pale Clouds kwebyewe wafanyakazi wengi ni Mangi's
Ni ya Mangi. Haya furahi sasa maana wachagga na nyie kwa sifa siku hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unajua Clouds media ni ya Nan?
Eckenforde sio ya Tairo wewe usijidanganye. Sisi tunajua nini kipo nyuma ya Eckenforde. Ownership yake ni ndogo.Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
akini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Najua hujafika Bukoba. Najua ukifika utarudi kuwaambia haya maneno wachaga.Ninachokiona kiuhalisia hakuna wahaya waliowekeza Klm na Arusha kama watu wa Kaskazini walivyowekeza hapo uhayani kwenu...Hata sii ajabu hapo ulipo umrzungukwa na kina Mangi na maduka yao ya kutosha tuu but huku mimi sijashuhudia uwekezaji wa wahaya iwe kwenye utalii au elimu au biashara nyingineyo....I stand to be corrected...A piece of advice to you guys...acheni pomposity fanyeni kazi na mpunguze misifa pia mjenge kwenu vijijini huko pia mbadilishe lifestyle ili ku boost per capital income.Wishing you all the best in your endeavours.
DooH! Ubishi mwingine bhana[emoji23]Najua hujafika Bukoba. Najua ukifika utarudi kuwaambia haya maneno wachaga.
Nadhani huijui vizuri Mwanza wewe.Mbona wachaga waliowekeza Mwanza ni wengi sana? Yaani kujitetea kua mama yako ni wa near Kibosho Senior Seminary hakutabadilisha fact kuwa wengi wa wahaya ni maskini.Maskini wa kihaya sio sawa na maskini wa Klm.
Mbona ni rahis sanaWe jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tu