simiyu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 274
- 153
Wao wanasubiri madawa ya kulevya ndo washighulikieMkuu hivi bado una imani na jeshi la polisi???
Wao wanasubiri madawa ya kulevya ndo washighulikieMkuu hivi bado una imani na jeshi la polisi???
Naamini wahusika wa kushughulika nao huwa wanachunguliaga humu na kutoka wasipepese macho wafanye kaziWahusika ujumbe umefika
YAANI WANANAMBA ZAO KABISA... AKACHOKA KABISA
Tumeni majina yao kwa IGP copy kwa Waziri wa mambo ya ndani.Tena kuna afande mmoja hapo mbez anaitwa bakar anapenda rushwa balaa...anashirikiana na mkuu wa kituo...