Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Kwako IGP
Nimewiwa tena kukurudia kwa mshtuko wa mambo yanayoendelea pale kituo cha mbezi polisi
Majuzi kuna kijana alifungua duka Kimara mwisho.. Alipokaa siku sita ya saba akaibiwaa... Baada ya kuibiwa akaelekea mbezi polisi.. Alipofika akapewa vijana wawili kwenda kuchunguza
Baada ya siku mbili akakamatwa kijana mmoja.. Alipokamatwa wale walioibiwa wakaambiwa walete gari apelekwe kituoni... Baada ya kufika kituoni yaliofwata ndio haya
Alipofika akamkuta polisi mmoja.. Wakamchapa makofi akakiri kweli ila yeye hutumika tu mabosi wake wako kibamba
Akaulizwa unapajua hapana wanatuachaga bar wanaenda kwao kama kuna kitu tunasubiri wanatuletea bar...
Gafla akaombwa namba yake... Yule polisi alipotaka kupiga ikaandikwa mwizi Kimara kwenye simu yake....
Polisi akasema hee ni huyu mshenzi tenaa..... Wakamuahidi watamfinya
Baada ya sikumbili akaitwa ukweli akaombwa aweke chochote wamsaidie.. Akapewa na mpelelezi.........
Matokeo yule mpelelezi hakuwa msaada tena zaidi ya kusubiri sikumbili bila watu kuweka sawa amemwachia mwizi...mpelelezi anaitwa safi...
Inasikitisha sana sana kwamatukio kama haya kuendelea kila sikuhiki kituo kinaitaji reshuffle wamenawajua hadi majambazi kitu ambacho hatunausalama kwa kweli...
Mnawezawasiliana na huyu baba ambae hivi sasa yuko wilayani akisubiri kutoa malalamiko yake kuhusu mpelelezi huyu
CONT
0759377624