Kinachoendelea interview ya pccb ndani ya sabasaba.

Jifunze kupitia jukwaa hili mara kwa mara kama watuma sana maombi ya Kazi kupata updates za kutosha, ila kama washinda MMU utaambulia kupata boyfriend
nitake radhi mi mke wa mtu
 

Kama hii ndiyo aina ya watu wanaoajiriwa katika utumishi wa umma, hata wangekula kiapo bado watasaliti taifa na kuhujumu ofisi na mali za umma.
 
Nimewapenda sana PCCB na shart kama taasisi zote zingekuwa kama hii haki ingetawala nchi hii,nimeshafanya interview nyingi sana nikagundua kwamba michakato yake huwa inatawaliwa na kutokuwa na uwazi,rushwa,upendeleo wa wazi,pamoja na mambo mengne meng ambayo hayafai,hawa jamaa kwa dalili nizionazo wamejaribu kujipambanua kuonesha tu uwazi!,mfano swala walilotangaza kwamba majibu watatoa wiki ijayo tena kwenye website yao na sio mahali pengne popote imenifanya nione tofaut ya wao na mahali pengne,kwakuwa mara nying kwa sehemu nying interview ikifanyika ukiulza majibu lin wanakwambia 'nenda utapigiwa simu',sasa jibu kama hili lina dalili ya kutokuwa na uwazi,na ukishaona hv ujue nyuma ya pazia kuna mengi
 

Hawa watakao faulu wawe wanachunguza idara zingine za serikali mianya ya rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…