Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

Kinachoendela Sudan ndio Demokrasia?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Wakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir, sio hivyo tu ila pia kuna tetesi ya hali kutokuwa tengefu kwa serikali iliyojiita ya Mpito.

Kwa mtazamo wangu kinachotokea Sudani ni sawa na kile kilichotokea Libya miaka kadhaa iliyopita, swali la kujiuliza je ni ipi faida wanayopata hawa wanaojiita wanaharakati baada ya uharibifu huu?

Baada ya machafuko haya kuanza wao huwa wanafaidi nini?

Je, wale wanaharakati wa Demokrasia kule sudan wanafirahia matunda ya jitihada zao?

Kama haitoshi kesi anayohukumiwa kwayo Rais omar Bashir ni ya miongo kadhaa iliyopita je hiki ndicho kinachotafutwa na wanaharakati wetu hapa Tanzania kwa mgongo wa Demokrasia.?

Nawasilisha..
 
Both sides, politician will suffer due to uncontrolled contries and civilian to will always suffer due to economic situation
But all in all at the end of this problem every one will be respect from each other and development will come fast
 
Inawezekana maelezo yako yalikuwa na lengo zuri kabisa ila lugha imekuletea upinzani wa lengo lako
 
And who will be the victim of those effect mostly? Politician or just innocent and poor citizen.
Whoever,but should have been ccm member?no harm ,hata wote wakitoweka kwenye uso wa dunia
 
Is it the only way to make someone dream come true? Seems like the loss is more than the goal expected ! We talk to countries like Libya, Syria,Iraq, now Sudan.! When we are deep in our conflict war sponsors will be busy taking whatever we have.. ! I don't think thats what mean for democracy.
But all in all at the end of this problem every one will be respect from each other and development will come fast
 
Mean kama wanaopotea au kufa ni Ccm members its ok for you? Au ninekuelewa tofauti mkuu
Whoever,but should have been ccm member?no harm ,hata wote wakitoweka kwenye uso wa dunia
 
Wakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir, sio hivyo tu ila pia kuna tetesi ya hali kutokuwa tengefu kwa serikali iliyojiita ya Mpito.

Kwa mtazamo wangu kinachotokea Sudani ni sawa na kile kilichotokea Libya miaka kadhaa iliyopita, swali la kujiuliza je ni ipi faida wanayopata hawa wanaojiita wanaharakati baada ya uharibifu huu?

Baada ya machafuko haya kuanza wao huwa wanafaidi nini?

Je, wale wanaharakati wa Demokrasia kule sudan wanafirahia matunda ya jitihada zao?

Kama haitoshi kesi anayohukumiwa kwayo Rais omar Bashir ni ya miongo kadhaa iliyopita je hiki ndicho kinachotafutwa na wanaharakati wetu hapa Tanzania kwa mgongo wa Demokrasia.?

Nawasilisha..
Tatizo watu uwa wakiandama wakafanikiwa ondoa uongozi uliopo uwa hawaachi hata watakaofuata wataandamana yani wakichoka wanaandamana kwa hiyo ni mwendo wa maandamano
 
Wakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir, sio hivyo tu ila pia kuna tetesi ya hali kutokuwa tengefu kwa serikali iliyojiita ya Mpito.

Kwa mtazamo wangu kinachotokea Sudani ni sawa na kile kilichotokea Libya miaka kadhaa iliyopita, swali la kujiuliza je ni ipi faida wanayopata hawa wanaojiita wanaharakati baada ya uharibifu huu?

Baada ya machafuko haya kuanza wao huwa wanafaidi nini?

Je, wale wanaharakati wa Demokrasia kule sudan wanafirahia matunda ya jitihada zao?

Kama haitoshi kesi anayohukumiwa kwayo Rais omar Bashir ni ya miongo kadhaa iliyopita je hiki ndicho kinachotafutwa na wanaharakati wetu hapa Tanzania kwa mgongo wa Demokrasia.?

Nawasilisha..
madhara ya madikteta yanapong'ang'ania madaraka ndio Haya,bashiri na gadafi kama wangekubali demokrasia mapema katika nchi zao wasingefikisha nchi zao hapo.madikteta majitu ya kuchukiwa sana na kulaaniwa yanaleta madhara makubwa sana
 
Hivi kati ya Ghadaff, Saddam Hussein, Omar Bashir, na hao wanaowasaidia wanaharakati wanaojiita wa kidemokrasia nani ana madhira zaidi? Kuna Nchi yoyote iliyopita mfumo huu wa kiuanaharakati ikaingia madarakani na kuleta maendeleo ya kupigiwa mfano hapa Africa?
Chukua Mfano wa Malawi ya Kamuzu Banda na Malawi ya sasa, Angalia Zambia ya Kenneth Kaunda na Zambia ya sasa! Angalia Somalia ya Siad Balle na Somalia ya sasa, angalia Ethiopia na kile kinachoendelea..
Je hawa wanaharakati wa mageuzi hawayaoni haya? Au kuna nguvu ya ziada nyuma ya agenda zao kama inavyosadikika.

Back
Top Bottom