Kinachoboa Mwanza

Chato hakufai mji mzima hata sambusa hakuna,utaambulia nyanya,fulu,maziwa,numbu(viazi vitamu)
Ha ha ha tusichoshane .. [emoji3] [emoji3] [emoji2] tunataka ushahidi
 
Siku hizi kupata migahawa ya bei za kawaida na bado wakakupa chakula kizuri imekuwa ngumu sana,wapishi kama yule anayelisha opposite na rocky city mall,ni adimu!Nampa hongera yule mama pale nje ya mall unajitahidi kukarangiza.
Lazma atakua cyo wa mwanza
 
Hivyo vingine umepotosha ila kwenye swala la ushamba ni kweli Mwanza bado kuna idadi kubwa wana kaushamba flani ivi utamjua mtu jinsi anavyoongea na kushangaa vitu vidogo vidogo na pia jinsi alivyovaa unajua kabisa huyu jamaa bado mshamba ni tofauti na mikoa mingine kama vile Dom Na Arusha watu wanajua kuvaa vizuri.
 
Kama vipi wekeza huko ufungue mgahawa classic upige hela
Nilikua nafikiria kama kuna mtu anaejulia misos kutoka dar,moro,tanga au mikoa mingne lazma apge hela balaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah!
 
Wanaume wa Dar utawajua tu yaani mpaka samaki anataka wakuuunga na matakataka sasa vibambala ndo utafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…