Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,804
- 167,982
Sidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya nilijiwekea mafuta. Uzuri nilikuwa nayo, akaisoma kisha akaondoka.
Swali:-
Je huu ni utaratibu rasmi wa TRA au ndio utapeli na upigaji mpya jijini?
Time will tellSidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
Huyo ni msenge tu tena siku nyingine ukikutana na mwingine mchyonye mavi. Pumbavu kabisa.Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya nilijiwekea mafuta. Uzuri nilikuwa nayo, akaisoma kisha akaondoka.
Swali:-
Je huu ni utaratibu rasmi wa TRA au ndio utapeli na upigaji mpya jijini?
Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya nilijiwekea mafuta. Uzuri nilikuwa nayo, akaisoma kisha akaondoka.
Swali:-
Je huu ni utaratibu rasmi wa TRA au ndio utapeli na upigaji mpya jijini?