Wameleta pande mbili zinazokinzana au ni kama ile iliyopita ya propaganda (wamekusanya watu wenye msimamo mmoja wanabadilishana mawazo na kupongezana)?

Prof kabudi yupo sasa hivi live tbc 1 na amesema kuwa hati za muungano zililidhiwa upande wa tanganyika LAKINI upande wa zanzibar hazikulidhiwa hivyo ndo sababu wakapendekeza mfumo wa serikari 3