Kina Zitto Baada ya Dreamliner Kutua

Leo ndo nimeona heading ikiwekwa emoji..Kumbe inawezekana[emoji23]
 
Mwenye miwani anafanana zaidi na Mbowe au Pinda? Mchoraji ongeza bidii kidogo, halafu maneno wanayoyasema yawe ya kweli sio mawazo yako mchoraji, kama vipi chora weka vitendo wasomaji tuumize vichwa kuitafsri.
 
Hawa wanatafuta kujipendekeza ili wafikiriwe japo ukuu wa wilaya
 
Msigwa anyimwa kibali cha mkutano ktk jimbo lake.kisa polisi ni wachache

Kwanini hamjiamini???
Tuanzie hapo kwanza[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…