Inapendeza sana namna hii.
Sasa waTZ tunaachana na "ujinsia", kumbe hata kina Mama udereva wa mabasi ya mkoani wanaweza!
Keep it up ladies :A S thumbs_up:
Inapendeza sana namna hii.
Sasa waTZ tunaachana na "ujinsia", kumbe hata kina Mama udereva wa mabasi ya mkoani wanaweza!
Keep it up ladies :A S thumbs_up:
kulikuwa na dada m1 anaendesha hayo mabasi miaka ya nyuma nilikuwa napenda sana kupanda gari analoendesha maana alikuwa makini sana akiwa barabarani, ilikuwa miaka ya 2002 kuendelea cjui km ndo huyo au alifungua njia.dada namkubali sana huyu anaendesha shabiby ya dom-dar...!!!mara nyingi watu humshangaa sana...!!
Inapendeza sana namna hii.
Sasa waTZ tunaachana na "ujinsia", kumbe hata kina Mama udereva wa mabasi ya mkoani wanaweza!
Keep it up ladies :A S thumbs_up:
Arusha,kuna dada anaendesha bodaboda,anafunga biashara saa 12 jioni,na mchana hapaki zaidi ya dkk 10 lazima apewe shavu...anakula vichwa vibaya mno.....