Kina kaka nawaomba hapa

Si useme ukweli tu boy wako ndiye anafanya hivyo?,yanini kudanganya sijui huko WhatsApp..siku nyingine akikwambia hivyo,mmwagie pilipili huko behind kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa so tolerate upuuzi Kama Huo. Ningeshamtimuwa kitambo Sana Kama ningekuwa n mm. Kwa jns ambavyo siwapendagi watu wa dzain hzo Hata boy wangu anajua
 
Huko wamechangiaje..??
M nlmchana live Kama jamaa sio. Atakuwa kazoea ingizwa kitu so Ili apate stimu mbadala anamuomba demi ake amtie vidole...
 
Of coz masuala ya chumbani n confidential lakini kuna vitu vinasumbua kichwa mkuu. Imagine mtu wake aje na swaga Kama hzo!!unless uwe umezoea na wewe kupita mlango wa nyyma utaona kawaida. Lakn hiyo n kitu ya kushangaza thana
 
baada ya kupotea umekuja kwa speed kaku hivi
Nlkuwa nasikilizia sakata la jf kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlkuwa napimia taarfa ztabak salama au tutaumbuka
 
Ahh that is too deep..... Hivi mwanaume unaanzaje kushikwa tigo? Unatakiwa ujishike tu unapokiwa chooni kujisafisha basi.... Hayo mengine ni ushoga wa kiwango cha juu...
 
Ahh that is too deep..... Hivi mwanaume unaanzaje kushikwa tigo? Unatakiwa ujishike tu unapokiwa chooni kujisafisha basi.... Hayo mengine ni ushoga wa kiwango cha juu...
Wapo watu ambao bila kupigwa dole jogoo hawiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…