Kina dada wa siku hizi

hao wa mwanzo ww uli-assume ni wapenzi lkn wao walikuona na kukuchukulia kama rafiki tu wakawaida!upo....
 
Hahahaaaaaaaa,, cjui nikwambie una bahati nzuri au mbaya celewi.
 
Jina la avatar yako tatizo, usitafte mchawi
 

Ukiweka na vi picha angalau viwili vitatu hivi sio mbaya ili kutupa msaada wa namna ya kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…