Kina dada wa siku hizi

jina baya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
573
Reaction score
381
Habari gani popote mlipo

Nianze moja kwa moja na mada hii inayolenga zaidi kina dada.

Dada wa kwanza tulikutana chuo, tukazoeana marafiki kwa muda wa miezi sita bila kugegedana, akanipiga kibuti sikujua tatizo.

Dada wa pili tulikutana mtaani na tulipendana sana tu na nilikaa naye mwaka mzima bila kugegedana, aka take time zake.

Dada wa tatu sikufanya kosa alipoingia line tu nikaanza kugegeda, mpaka leo hii nipo naye.

Swali langu la msingi ni kwamba, hamuwezi kuwa marafiki bila kugegedana au ndo madada wa kizaz kipya?
 
Kwahiyo hapo wewe umeconclude kuwa mgegedo ndo umefanya huyo dada bado upo naye?!!!
Ni mtazamo wako.... tupo tofauti
 
Hueleweki mkuu. Hao walokuacha ulipanga mlikuwa na mpango wa kuoana au walikuwa marafiku tu? Huenda waliona unaweka kiwingu wakati huna mpango wowote.
 
Hao wawili wa kwanza walikuacha sababu walihisi wewe ni mgonjwa yaani H*nit*i
 
urafiki?? kuna urafiki gani kati ya jinsia tofauti? inakuuma kwamba umekosea kugegeda au?sasa ulitaka usigegede huyo kwani dadako!??


kabla hujagegeda hukuwaza kwamba ni rafiki yako huyo hatakiwi kugegedwa?
 
Madada wengi (si wote) wa siku hizi pichu mkononi (sorry for this saying)...yaani usipomgegeda haamini kama unampenda kweli au kama unamipango nae in the future. Hili nalo huwacost sana
 
Hao wawili wa kwanza walikuchukulia wewe kama rafiki wa kawaida na sio urafiki wa kimapenzi, labda walikuchunguza undani wako wakagundua tofauti so wakaamua kuchapa yebo. Mimi sikubaliani na msemo wa kuwa bila mgegedo hakuna penzi huo ni uongo, wapo wanaodumu katika urafiki wa kimapenzi kwa muda mrefu bila mgegedo na mwisho wa siku wanafunga ndoa na kuwa mume na mke. Nafurahi sana msichana mwenye msimamo mkali wa kutokufanya ngono mpaka ndoa!! Aaaah na mapenzi sio mgegedo jamani.
 
Madada wengi (si wote) wa siku hizi pichu mkononi (sorry for this saying)...yaani usipomgegeda haamini kama unampenda kweli au kama unamipango nae in the future. Hili nalo huwacost sana

thats it!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…