BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,802
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini
Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)
Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake