Kina dada punguzeni ushirikina maofisini

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,801
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini

Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)

Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
 
Kila jambo mwanamke kazidi. Duuh. Mbali na yote sijutii kuwa mwanamke aisee.

Pia kwa upande mwingine ushirikina ni tabia ya mtu na sidhani kwa maneno haya tu ndio yanaweza sababisha mtu apunguze.

Ungeweka labda na hasara huenda zingesaidia kuwafanya wapate woga wote wenye tabia hiyo wanawake kwa wanaume.
 
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini

Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)

Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
Ndio shida ya kutosoma!
 
Mkuu FATA yako.
Uchawi ulikuwepo tangu enzi za maalim kisisina.
Ni vile unavyotaka kuutumia. Ukifanya kwa ubaya dhambi.
 
Uchawi sio lazima uende kwa mganga uchawi ni wewe mwenyewe unavyojiweka, hao wadada wanajua kuongea kwa maneno mazuri matamu na kwa ushawishi wa hali ya juu,

Huu uchawi unaitwa
Sound from other side.
 
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini

Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)

Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
Wewee kwani siku ya kula papuchi linapita gari la matangazo kutangaza au wakitoka huko wanawekwa sticker kuwa mzee kala? Mzee ni mbunye (uchawi wa kibaiolojia) ndio utaua kampuni yake.
 
Mapenzi hayana siri, umri wako ni mdogo kuutambua usemi huo
 
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini

Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)

Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
Ofisi gani hiyo mkuu watumishi tuje tukemee mapepo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom