Kina dada na picha za kimgongo mgongo

Kweli... ila nauliza pozi la rivasi lina maana gani?

Lazima tuonyeshe kwamba sisi na nyie ni tofauti,kazi ya mola kwetu ni kubwa katufinyanga vizuri alipofika chini ya kiuno akalikandika li udongo mwingi acha tu,hapana chezea muumbaji huyu....!!!!
 
Wengine wanashape mbaya ila hawachoki kuonesha
 
wanaume mkipishana na wadada mnapogeuka mnaangalia wapi?

Kwahyo wanawarahicshia..

iv kuna kitu kinakuwa kinashadaiwa harafu hakitumiki? Cjui lakn ni swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…