Kina dada na picha za kimgongo mgongo

Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...

Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?

Mi huwa natupia "Like" tu...

Without any sort of evidence to back up your statement?
 
Tena anaweka na salamu, "za asubuh wapendwa nawatakia siku njema"na Hizo picha ndo zinasukumia. Lkn Sisi ambao hatujaaliwa neema za Allah hata atuchubutu!!

Ila mi naona wote tu wanaweka... hata flat screens
 
Ila mi naona wote tu wanaweka... hata flat screens

Ambaye akienda kama anarudi like me hatuwez kuweka picha za hvyo. Wenye mizigo Yao ndo Balaa!! Lkn ni tabia ya mtu.
 
Ambaye akienda kama anarudi like me hatuwez kuweka picha za hvyo. Wenye mizigo Yao ndo Balaa!! Lkn ni tabia ya mtu.

Haya bana... hahahaa
 
Ikikubali usiache kutupia kapicha kule instagram...

Bahati mbaya situmii mtandao wa kijamii zaid ya Jf. Ila ata ningekuwa natumia nisingeweza kufanya hivyo!!
 
Tena anaweka na salamu, "za asubuh wapendwa nawatakia siku njema"na Hizo picha ndo zinasukumia. Lkn Sisi ambao hatujaaliwa neema za Allah hata atuchubutu!!

Hahaaaa, we unalo kabisa...... Si tumesha lithaminisha kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…