Ukipita huko facebook na
instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu,
lazima moja inakuwa imepigwa from behind...
Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?
Mi huwa natupia "Like" tu...
Show watever u a mama gave u
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...
Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?
Mi huwa natupia "Like" tu...
Hiyo ndo habari ya mujini na ukijifanya mshamba anakutelezeshea dubwi!!!!!
Do you have it?show what u have
mnasema uzuri wa nyumba choo.....ndo wanaonyesha sasa.....kwamba uko nyuma allah kampendelea.....