kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
kumekuwa na dhana potofu na ya kipumbavu ndani ya mahusiana baina ya wachumba yaani kufanya tendo before marriage mi binafci na hata watu wenyekuona mbali hatukubaliani nalo hata kidogo. Ndugu zangu hasa akina dada inabidi muelewe kitu kimoja sisi wanamme huwa tuna dharau hasa unapokuwa umengonga mpenzi mwanamme huanza kukuotoa kasoro mara haujui sex na kumjengea mazingira ya kutafuta dem mwingine kwa lengo la kutest tena kwa hiyo unakuta proces inakuwa continous hivyo dada ukimuona mwanaume amekuambia hakugong mpaka ndoa mpende ila akikuomba gem kabla ya ndoa piga chini huyo ni mzugaji wala cio muoaji unapokawa mwanamke hujamgonga huwa unahamasika kuoa haraka kwa sababu ya kumpenda ila ukisha kula mzigo unadharau kwa hiyo dada zangu mcipende kuvua chup kifala et tu kakwambia atakuoa hem fanya tafit waliogongana ndo utasikia kila ciku ugonvi hakuna ndoa nikuambulia kuliwa kama jojo ukiisha utam unatemwa anaangaliwa mwingine mi kijana na inaboa sana take care jamani vijana wenzangu sorry mcinitukane.