Kimya kinachouma

Wakuu, nimewasikia na nimeelewa. Kama kuna nilipokosea, naomba samahani. Sina nia ya kubishana wala kujitetea zaidi. Tujengeane, mimi naendelea na mambo yangu. Mada nimeifunga. 🙏 KIMYA KINACHOUMA
 
Wakuu, nimewasikia na nimeelewa. Kama kuna nilipokosea, naomba samahani. Sina nia ya kubishana wala kujitetea zaidi. Tujengeane, mimi naendelea na mambo yangu. Mada nimeifunga. 🙏 KIMYA KINACHOUMA
Mkuu kuwa serious upate ndoano uvue mwenyewe samaki,
Kuomba samaki kila mara hakutaimaliza shida yako.
Kama una elimu kuanzia kidato cha 4, niko tayari kukushika mkono upate fedha halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…