Haupo pekee yako nami nipo katika hali hiyoSijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu…
Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu najihisi nimeelemewa sana.
Sina nia ya kulalamika wala kutafuta huruma. Nimejaribu kujishikilia na kutafuta njia ya kutoka, lakini kuna wakati nguvu zinapungua.
Kuna jambo dogo tu nikilipata linaweza kunisaidia kuvuka hii hatua, lakini sitaki kulazimisha mtu. Mwenye kuona anaweza kunisogeza hatua moja mbele, nitathamini msaada wake sana.
Wakati mwingine mtu anayekaa kimya si kwamba hana shida… anaweza kuwa anapigana vita ambayo hakuna anayoiwona.
Mungu anipe nguvu nivuke kipindi hiki. 🤲
Kaka angu nimeomba sana ktk jamii angu chenga Tyu marafiki chenga JF Chenga... Na Changamoto Sana Mwenye 20K Anikopeshe NitakurejesheaZungumza ndio tiba yenye. This life is stress after stress hasa kwa vijana kwa sababu ni muda wa ku chance success.
Share na watu wa karibu inasaidia kupata relief ili usije kupata depression
Unacheka!?
Utavuka tu mkuu..... lakini jaribu kukumbuka wakati uliopita ulipokuwa na changamoto ulivukaje? hii inakupa tumaini hata sasa unaweza..... kuna youtube channel inaitwa fikira chanya jamaa wana content nzuri sanaNajifeel ku die aseee...kwa haya nipitayo
Sa utairejesha vipi bro, au mkeka ukitiki???Kaka angu nimeomba sana ktk jamii angu chenga Tyu marafiki chenga JF Chenga... Na Changamoto Sana Mwenye 20K Anikopeshe Nitakurejeshea
Joanah nakuomba Niwezeshe 20K Tafadhali Nakuomba najifeel ku die asee
NdiyoUnacheka!?
Una shida gani?Zaidi ya kuumwa ndg angu...mungu mtambuzi Kila jambo