Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?


Watetezi wa makaburu na wafuasi wa mfalme wanajulikana tu kwa comments zao
 
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Uraisi ni taasisi yenye watu wengi.Kuna wakuu wa wilaya,mikoa,mawaziri,viongozi wa taasisi nk wote ni sehemu ya taasisi ya uraisi.Hadi waziri mkuu keshafika na kusema kuhusiana na tetemeko.Wakuu wa mikoa wameongea,wilaya wameongoa,bunge limeongea,yaani watanzania wanapenda sana kusikia watu wakiongea.(WANAPENDA LONGOLONGO).

Nchi zote zenye watu wanaopenda kuongea sana na kusikiliza maongezi sana zinaongoza duniani kwa umaskini.Hata Tanzania angalia maeneo ambayo watu huongea sana watu wake ni maskini.Hata dini zenye watu wanaoongea sana ni maskini.Hata waandishi wa habari waongeaji sana wengi maskini.

Nchi zisizoongea sana kama za ulaya,china,japan wako mbali mno kimaendeleo.
Tanzania likitokea tetemeko watataka kila mtu akeshe akiongea si kila mtu ni mwongeaji wengine ni watu wa vitendo zaidi.Hukaa kutulia kupanga kipi kifanyike nk si kila mtu ni domokaya.

Ndio maana hata mtu akifa nyumbani hutakiwi kupiga yowe MBIO MBIO.unatakiwa utulie umweke vizuri asije kuwa kafa hovyo kajinyea yuko hovyo watu wakaja watashangaa huyo maiti alivyo hovyo na waweza hata kukuzaba vibao kuwa ulikuwa humwangalii vizuri hadi kafariki hovyo hivyo
 

Boss umemuelewa Pasco ? usichanganye uzi huu na ule wa Mzee Mwanakijiji Japo Maudhui yanafanana. Anauliza ukimya huu una nini?
 

Pasco , wewe si ndio bingwa wa kuwajua hawa watu? Si utwambie kutoka vyanzo vyako makini "kulikoni"? Ukiishi kwa ramli, hata paka akikupitia unaweza kuzimia na ukiota popo katua kwenye jicho lazima ukaague!!! Ramli si nzuri mkuu! Si ajabu watu wako kuagua....
 
Kimya kingi kina mshindo mkubwa, na kwenye tukio la tetemeko ukimya huu si mzuri. Ndugu zetu wa Kagera was supposed to get a consolation and a pet on the shoulder. Salamu za rambirambi kusomwa tu hazifariji zaidi ya kuongeza chuki.
 
Matamko yanakuja kutokana na to what extend umeguswa na tukio husika eg kama mtu alisema kesho ni ukuta nchi zima,,,hapa lazima utaguswa na tamko tutatoa na mazoezi na rasimali watu na fedha zitakuwa at work.....so ukiguswa lazima utatamka tu on the spot sio baaada ya wiki au mwezi
 
Alishikwa na ganzi ila taratibu hali inatengamaa na atatoa tamko,mana tulikuwa tunarekebisha hali ya uchumi kama mnavyoona mambo siyo mabaya unakuwa kwa spidi wa ndege mpya japo wanadai ni mapanga boi ila yanatua viwanja vyote TZ,na kama mlivyoona taasisi tunayoiamini kama chama ya TWAWEZA imejibu maswali ya watanzania wote,muda si mrefu mtaisikia kauli yake acha kwanza taasisi binafsi,makampuni,watu binafsi watoe michango yao halafu kile kitachobakia tutamalizia....Tunaposema tunamaanisha hakika TZ ya viwanda bubu inakuja hiiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…