Bibi Ntilie
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 245
- 8
Huyu jamaa ni clean hata CCM-fisadi wakimwaga sumu hawatafanikiwa sana, hata kama atashindwa lakini atakuwa ameleta changamoto kwa siasa za baadae za tanzania.
Tatizo letu bado tuna mawazo kuwa siasa ni ugomvi vurugu ngumi mkononi hatufikiri zaidi ya hapoHuyo Salim hata akirushiwa bomu la machozi atakuwa hoi, sio ngangari kama Mrema, Mbowe au Salim. Hawezi, na hata siku moja hatathubutu kujiingiza kwenye siasa za mabavu, mshike mshike.
Kibaya alishindwa kihalali alipogombea 2005. Mwache aendelee kula pension yake.
Mpeni Mengi hiyo nafasi maana nimesikia anaitaka.
Bibi NtilieLuteni, usisahau kwamba kuna heshima ya mtu at steak vile vile. Akishindwa kwa mara ya pili hata kama atakuwa ameleta changamoto yoyote ile huoni kwamba itakuwa imemvunjia heshima na rekodi yake nzuri? Kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi SAS mtakuwa mnataka kumuumiza bure kutaka ajiingize kushindana na CCM iliyojaa ufisadi na mbinu chafu zisizojali utu wa mtu. CCM walimwaga sumu wakati ule wakafanikiwa watashindwa kumwaga sumu kali zaidi katika wakati huu ambao wako katika hali ya kutapatapa? Tafuteni vijana wazalendo wenye mwelekeo wa kutaka kulitumikia taifa kwa uadilifu ili wakapate nasaha na ushauri kutoka kwenye kisima cha busara za kila aina alichonacho kutokana na uzoefu wake wa siasa za ndani ya nchi na za kimataifa.
Nyie nyie. Mnaelewa mnachokizungumzaa??? Hivi ni nani mjinga ambaye umri wake umeenda na anakaribia kuf kufa anataka kujimaliza kisiasa saa hizi za magharibi? Mbona mwaongea pumba nyie??!
Bibi Ntilie
Ukiogopa kuwa wa mwisho darasani usiende shule, lakini sidhani kama hiyo itasaidia kutunza heshima yako.
Waliujua msimamo wake ndiyo maana wakamwekea mizengwe 2005 I wish angekuwa rais wa Tanzania leo nafikiri tungekuwa mbali ukilinganisha na majirani zetu Rwanda Kenya na Uganda.Salim hana chochote cha kuogopa. Naamini ni msimamo tu ndio alionao.
Waliujua msimamo wake ndiyo maana wakamwekea mizengwe 2005 I wish angekuwa rais wa Tanzania leo nafikiri tungekuwa mbali ukilinganisha na majirani zetu Rwanda Kenya na Uganda.
Kivipi mkuu wote wanahitajianaChadema haimuitaji...ila yeye anaihitaji Chadema kama ana nia ya kweli ya kuletea maendeleo watanzania
Still connecting the dots
[/IMG]
Henu tueleze dots chache ulizozipata umeipata wapi na unadhani zina uzito gani kulingana na ulikozichimba
Kweli mkulu ungetusaidia kuunga hizo dots ili nasi tufunguke kiasi na twende sawa sasa.
Dots hizo hata mimi bado nazifuatilia ingawa inafanywa siri lakini wadondoaji wa mambo wanasema kuna koneksheni ya suala hili na usajili wa Ccj.LUTENI CORNEL umezipata wapi hizo nyepesi? Tusije tukachangia uwongo?
Ila kama ni kweliaje na nia Thabiti ya Kuongoza na Nia ya kuwakomboa Watanzania.
Kweli mkulu ungetusaidia kuunga hizo dots ili nasi tufunguke kiasi na twende sawa sasa.
Let us all hang on speclations as you are thinking to meAsiwadanganye. Hana dots zozote za kuunga, he is just working on speculations!
Let us all hang on speclations as you are thinking to me