Kimsingi sipokei mjukuu yeyeto

Babu na Bibi wamecharuka huko, naunga mkono hoja , kuna mda wazazi wanatakiwa kula maisha sio kurudia kufua nepi tena , kama unapeleka mjukuu ,peleka na mfanyakazi wazazi wabaki kama waangalizi
 
Mzee KUWA mpole utalipwa na MUNGU mzee VUMILIA mzee wetu. Mambo yakizidi UNGA wadondoshe kituo cha watoto yatima USIJE anza kukopa HUKU wazazi wanasubiri wakue WAJE kifua MBELE.
 
Sasa tupeleke wapi,,, eti kikongwe mchangamfu
 
We babu kwanini usimwambie mwanao live ..unakuja humu unajuaje kma naye ni mwana JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…