much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,066
- 21,542
Kwanini wakusaidie?Wakati mwingine watoto wa watoto wako ndiyo watakaokuja kukusaidia.
Usichoke kuendeleza wema.

Uncle T naye ni wa kukushauri 🤔Wanaona sifa kuzaa ovyo jana uncke t kawaambia zaa kulingana na kipato chako ntoto wa kwanza bahati mbaya na wapili tena uho ni upumbavu kabisa namfukuza
KawashauriUncle T naye ni wa kukushauri 🤔
hebu pitia huu mkasa kidogo
Thread 'Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema' Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema
Dah leadermoehebu pitia huu mkasa kidogo
Thread 'Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema' Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema
Babu na Bibi wamecharuka huko, naunga mkono hoja , kuna mda wazazi wanatakiwa kula maisha sio kurudia kufua nepi tena , kama unapeleka mjukuu ,peleka na mfanyakazi wazazi wabaki kama waangaliziKimsingi nimechoka kulea wajukuu yaani unakuta mtoto wako anapata mtoto anakuja kumbwaga kwa Babu au Bibi yake alafu yeye huyo nduki.
Imefika hatua mbaka tunasomesha watoto wenu nyie mnadunda tu mwisho wa siku mkirudi pangu pakavu.
Mtoto anakosa malezi ya wazazi kwakutelekezwa kwa babu au Bibi yake, mapenzi ya mtoto yanapungua kwa wazazi wake sababu hamjali tena.
Asa nasemaje mimi nishakulea kwa nguvu zote na wewe lea watoto wako kwa age yetu asa hivi tuache tupumzike.
Sikatai wajukuu yapaswa wawe wanatutembelea kipindi cha likizo na sio kuwalelea watoto wenu mahitaji yenyewe hamtumi.kuzaa sio mashindano, shenzi type.
We babu kwanini usimwambie mwanao live ..unakuja humu unajuaje kma naye ni mwana JFKimsingi nimechoka kulea wajukuu yaani unakuta mtoto wako anapata mtoto anakuja kumbwaga kwa Babu au Bibi yake alafu yeye huyo nduki.