Kimsingi sipokei mjukuu yeyeto

Kimsingi sipokei mjukuu yeyeto

Wanaona sifa kuzaa ovyo jana uncke t kawaambia zaa kulingana na kipato chako ntoto wa kwanza bahati mbaya na wapili tena uho ni upumbavu kabisa namfukuza
Nimeona hizo video, yani huwa anaongea point sana sema tu kwa sababu upinde watu wanamdharau.

Jana kajisemea “umaskini unaongozwa na kuzaa hovyo”
 
Kosa kubwa kuzaa na kutupia wazazi walee, kwani kama utayari wa kuzaa huna si usubiri hadi ukae sawa!
 
Nimeona hizo video, yani huwa anaongea point sana sema tu kwa sababu upinde watu wanamdharau.

Jana kajisemea “umaskini unaongozwa na kuzaa hovyo”
Kasoro zake weka pembeni ila uhalisia upo ivyoo yule dada alikuwa rafiki tuka potezana nikiwa nimemuacha na mtoto mmoja juzi kaja niambia ama watoto wawili af yeye yupo mtwara watoto kawaacha kwa bibi yao dah ndio mwanzo wa kumpotezea kabisa kujitambua ngumu
 
Naamini nitakua na watoto madume tupu nikipata watoto wa kike nitaanza kuishi na majeraha ya ndani tangu naanza kuwakuza mpaka wanaakua maana najua kuna wachafuzi nitakua nawakuzia tu embe likiiva watalitafuna na likiwa halijakomaa watalila na chumvi
Mungu akusamehe bure
 
Back
Top Bottom