Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Nimeona hizo video, yani huwa anaongea point sana sema tu kwa sababu upinde watu wanamdharau.Wanaona sifa kuzaa ovyo jana uncke t kawaambia zaa kulingana na kipato chako ntoto wa kwanza bahati mbaya na wapili tena uho ni upumbavu kabisa namfukuza
Kasoro zake weka pembeni ila uhalisia upo ivyoo yule dada alikuwa rafiki tuka potezana nikiwa nimemuacha na mtoto mmoja juzi kaja niambia ama watoto wawili af yeye yupo mtwara watoto kawaacha kwa bibi yao dah ndio mwanzo wa kumpotezea kabisa kujitambua ngumuNimeona hizo video, yani huwa anaongea point sana sema tu kwa sababu upinde watu wanamdharau.
Jana kajisemea “umaskini unaongozwa na kuzaa hovyo”
Ngoja niongozane na mama Uswege anisindikize, nisije nikaiangukia dhambi 🤣Af nakuomba pm
Karibu hana shida kabisaNgoja niongozane na mama Uswege anisindikize, nisije nikaiangukia dhambi 🤣
Mkuu, nyumbani bro kaleta watoto 3 mzee aleeHaya ndio madhara ya kuzaa watoto wa kike mfululizo kungekua na vidume hapo hata hulalamiki maana unajua atatia mimba huko na mtoto atabaki huko huko
Ni kweli kama ukishajua mtoto wako ni boya, subiri tu akuletee wajukuu uwafunde unaweza kupata rafiki wa maisha .....Wakati mwingine watoto wa watoto wako ndiyo watakaokuja kukusaidia.
Usichoke kuendeleza wema.
🤣🤣🤣Pole babu. Ukiona Babu au bibi anakataa mjukuu ujue mzazi wa mjukuu hana hela.
Mungu akusamehe bureNaamini nitakua na watoto madume tupu nikipata watoto wa kike nitaanza kuishi na majeraha ya ndani tangu naanza kuwakuza mpaka wanaakua maana najua kuna wachafuzi nitakua nawakuzia tu embe likiiva watalitafuna na likiwa halijakomaa watalila na chumvi
Bro wako kiaziMkuu, nyumbani bro kaleta watoto 3 mzee alee
Umesema mkojo?Naunga mkono hoja!💯
Nishasamehewa mkuuMungu akusamehe bure