Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 191
- 663
Hata yule mjukuu mwenye jina lako la Papillon Maramojatu?Kimsingi nimechoka kulea wajukuu yaani unakuta mtoto wako anapata mtoto anakuja kumbwaga kwa Babu au Bibi yake alafu yeye huyo nduki.
Imefika hatua mbaka tunasomesha watoto wenu nyie mnadunda tu mwisho wa siku mkirudi pangu pakavu.
Mtoto anakosa malezi ya wazazi kwakutelekezwa kwa babu au Bibi yake, mapenzi ya mtoto yanapungua kwa wazazi wake sababu hamjali tena.
Asa nasemaje mimi nishakulea kwa nguvu zote na wewe lea watoto wako kwa age yetu asa hivi tuache tupumzike.
Sikatai wajukuu yapaswa wawe wanatutembelea kipindi cha likizo na sio kuwalelea watoto wenu mahitaji yenyewe hamtumi.kuzaa sio mashindano, shenzi type.
Haya ndio madhara ya kuzaa watoto wa kike mfululizo kungekua na vidume hapo hata hulalamiki maana unajua atatia mimba huko na mtoto atabaki huko hukoWakati mwingine watoto wa watoto wako ndiyo watakaokuja kukusaidia.
Usichoke kuendeleza wema.
Tukutane kwanza nyuma ya tentWakati mwingine watoto wa watoto wako ndiyo watakaokuja kukusaidia.
Usichoke kuendeleza wema.
Nimeona footballer maarufu kwa sasa Lamine ameenda kuchukua jezi mpya na bibi yake mzaa baba aliyemlea. So changamoto ya wajukuu siyo kwa watoto wa kike tu.Haya ndio madhara ya kuzaa watoto wa kike mfululizo kungekua na vidume hapo hata hulalamiki maana unajua atatia mimba huko na mtoto atabaki huko huko
Mbona unafunguka kwa jazba hivyo 🤣🤣 kulikoni?Mna wafuga wenyewe hao watoto wenu waki wapa sukari kidogo mnatulia timua wote waende kwa mama zao uko
Naamini nitakua na watoto madume tupu nikipata watoto wa kike nitaanza kuishi na majeraha ya ndani tangu naanza kuwakuza mpaka wanaakua maana najua kuna wachafuzi nitakua nawakuzia tu embe likiiva watalitafuna na likiwa halijakomaa watalila na chumviNimeona footballer maarufu kwa sasa Lamine ameenda kuchukua jezi mpya na bibi yake mzaa baba aliyemlea. So changamoto ya wajukuu siyo kwa watoto wa kike tu.
Nafikiri hichi ulichosema kinasababishwa kwa namna moja na wimbi kubwa la wanaume wanaotelekeza watoto wao na kusababisha mabinti warudi kuomba msaada kwa wazazi wao.
Sipendi iyo tabia kabisa kuna mwingine kazaa watoto wawili nyumbani na mababa tofauti na wazazi wana mpokea uho ujinga sitaki kwanguMbona unafunguka kwa jazba hivyo 🤣🤣 kulikoni?
Kweli si mambo ya kuendekeza 💯Sipendi iyo tabia kabisa kuna mwingine kazaa watoto wawili nyumbani na mababa tofauti na wazazi wana mpokea uho ujinga sitaki kwangu
Watoto wa watoto wako! Umri wa mwanadamu ni makumi saba; na kumi moja kwa mwenye nguvu.Wakati mwingine watoto wa watoto wako ndiyo watakaokuja kukusaidia.
Usichoke kuendeleza wema.
Wanaona sifa kuzaa ovyo jana uncke t kawaambia zaa kulingana na kipato chako ntoto wa kwanza bahati mbaya na wapili tena uho ni upumbavu kabisa namfukuzaKweli si mambo ya kuendeleza 💯
Af nakuomba pmKweli si mambo ya kuendekeza 💯