Kimsingi sipokei mjukuu yeyeto

Kimsingi sipokei mjukuu yeyeto

Papillon 1906

Senior Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
117
Reaction score
387
Kimsingi nimechoka kulea wajukuu yaani unakuta mtoto wako anapata mtoto anakuja kumbwaga kwa Babu au Bibi yake alafu yeye huyo nduki.

Imefika hatua mbaka tunasomesha watoto wenu nyie mnadunda tu mwisho wa siku mkirudi pangu pakavu.

Mtoto anakosa malezi ya wazazi kwakutelekezwa kwa babu au Bibi yake, mapenzi ya mtoto yanapungua kwa wazazi wake sababu hamjali tena.

Asa nasemaje mimi nishakulea kwa nguvu zote na wewe lea watoto wako kwa age yetu asa hivi tuache tupumzike.

Sikatai wajukuu yapaswa wawe wanatutembelea kipindi cha likizo na sio kuwalelea watoto wenu mahitaji yenyewe hamtumi.kuzaa sio mashindano, shenzi type.
 
Hata yule mjukuu mwenye jina lako la Papillon Maramojatu?
 
Haya ndio madhara ya kuzaa watoto wa kike mfululizo kungekua na vidume hapo hata hulalamiki maana unajua atatia mimba huko na mtoto atabaki huko huko
Nimeona footballer maarufu kwa sasa Lamine ameenda kuchukua jezi mpya na bibi yake mzaa baba aliyemlea. So changamoto ya wajukuu siyo kwa watoto wa kike tu.

Nafikiri hichi ulichosema kinasababishwa kwa namna moja na wimbi kubwa la wanaume wanaotelekeza watoto wao na kusababisha mabinti warudi kuomba msaada kwa wazazi wao.
 
Ungewalea vizuri wasingekuletea wajukuu uwalee kimazabe.

Kosa linaanzia kwako.
Wafundishe kubeba majukumu na wajibu wao ili wasikuachia mzigo
 
Nimeona footballer maarufu kwa sasa Lamine ameenda kuchukua jezi mpya na bibi yake mzaa baba aliyemlea. So changamoto ya wajukuu siyo kwa watoto wa kike tu.

Nafikiri hichi ulichosema kinasababishwa kwa namna moja na wimbi kubwa la wanaume wanaotelekeza watoto wao na kusababisha mabinti warudi kuomba msaada kwa wazazi wao.
Naamini nitakua na watoto madume tupu nikipata watoto wa kike nitaanza kuishi na majeraha ya ndani tangu naanza kuwakuza mpaka wanaakua maana najua kuna wachafuzi nitakua nawakuzia tu embe likiiva watalitafuna na likiwa halijakomaa watalila na chumvi
 
Back
Top Bottom