Kimsingi Chadema wanagombania Ruzuku

Kimsingi Chadema wanagombania Ruzuku

Sasa hawa million 100 za kila mwezi wanatoana roho wakipewa Dola sijui itakuwaje

Tuzidi kuwaombea 🐼
Hakuna cha ruzuku mkubwa sindano tu ya No reform No Election harara na chunusi zinatoka wadudu warukao na watambaao wanatoka🤣🤣
 
Attachments

  • 20250610_184844.jpg
    20250610_184844.jpg
    115.9 KB · Views: 6
Sasa hawa million 100 za kila mwezi wanatoana roho wakipewa Dola sijui itakuwaje

Tuzidi kuwaombea 🐼
Wewe unayo matatizo makubwa sana kichwani mwako.
Kiufupi, wewe ni CHIZI asiyejuwa hili wala lile.
Chizi hujiokotea tu matakataka kila anapopita na kuysambaza kama uchafu kila eneo anakopita.
 
Halafu unakuta ni Baba ni wa Familia na familia inamtegemea
 
Udanganyifu mtupu No reform no Election huku wanajaza matumbo Yao posho na marupurupu yatokanayo na jasho ma damu za Kodi za wananchi
 
Kwa akili za CCM hicho ndio mmefikiria kitatutoa kwenye reli kuhusu kudai reforms?
 
Wewe unayo matatizo makubwa sana kichwani mwako.
Kiufupi, wewe ni CHIZI asiyejuwa hili wala lile.
Chizi hujiokotea tu matakataka kila anapopita na kuysambaza kama uchafu kila eneo anakopita.
Mwamba awafanyie wepesi wenzie 😁
 
Back
Top Bottom