Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 2,938
- 5,593
Niko nje ya maada kdg ,kwani gwajima kakosea nini kwenye matamshi yake mpka afungiwe makanisa yanayoongozwa na yeye?
Sio demokrasia?Sasa hawa million 100 za kila mwezi wanatoana roho wakipewa Dola sijui itakuwaje
Tuzidi kuwaombea 🐼
Kuingiza siasa kusikostahiliNiko nje ya maada kdg ,kwani gwajima kakosea nini kwenye matamshi yake mpka afungiwe makanisa yanayoongozwa na yeye?
Tafadhari unaweza kunisaidia ni namna gani aliingiza siasa kanisaniKuingiza siasa kusikostahili
Umri wako hauendani na hoja za kijinga unazotos. Mambo hayo waachie akina Lucas mwanshambaSasa hawa million 100 za kila mwezi wanatoana roho wakipewa Dola sijui itakuwaje
Tuzidi kuwaombea 🐼
Sasa kama u mpumbavu na hujui kafanyaje…. Unataka nipoteze muda wangu?Tafadhari unaweza kunisaidia ni namna gani aliingiza siasa kanisani
Paw Mjinga anapokua I kabarikiwaUmri wako hauendani na hoja za kijinga unazotos. Mambo hayo waachie akina Lucas mwanshamba
Ugumu wa unayopitia hayanihusu mimi nimekuuliza ww kwa kua ulifanya kiherehere kwa kunijibu sasa ulitaka nimuulize nani zaid ya ww uliyekuja?Sasa kama u mpumbavu na hujui kafanyaje…. Unataka nipoteze muda wangu?
Stupid fish