2pe Update Za Maandamano Pale TEHRAN Mkuu Wacha Mboyoyo[emoji3][emoji3][emoji3]Wananchi wa Iran hawakujua kwamba kuna mamluki kati yao tena ndiyo walioua waandamanaji wenzao, Ila mmatumbi mmoja wa chakwale akashtukia mchezo.[emoji16][emoji16]
Majamaa wanaumia sana kuona kwamba kile wanachokotarajia kwamba kitatokea IRAN HakitokeiTena yale ya ufaransa ndo yalikua mabaya kuwahi kutokea duniani
Tanzania haihujumiwi na mtu ni visingizio tu ili uchumi ukishaporomoka kwa sera mbovu wapate mchawi.Tanzania inapowatuhumu Mabeberu kuwahujumu, hao Mabeberu wanakuwa wapi?
Na bado yanaendeleea mapaka ssTena yale ya ufaransa ndo yalikua mabaya kuwahi kutokea duniani
Unajua mkuu hawa watu ni wanafiki sana wamesahau maandamano yaliyopita ya ufaransa watu wengi waliuawa na pia vikosi vya usalama vilitumia gas ya sumu dhidi ya waandamanaji.....Majamaa wanaumia sana kuona kwamba kile wanachokotarajia kwamba kitatokea IRAN Hakitokei
Maana kuna Mwana Jamvi Mmoja Humu Aliwahi Tuaminisha Yakwamba Huu Mwaka Haumaliziki Serikali Inayotawala TEHRAN Ita Angushwa Jamaa Akapiga Mahesabu Anaona Bado Mwezi Mmoja 2 Mwaka Umalize Na Wala Hamna Dalili Wala Kiashiria Cha Kuangushwa Serikali ya TEHRAN sasa naona wame amua wao kua wana propaganda wakuu kama BBC na wenziwao
Ila wengi Hapa walokua Against IRAN Nikwamba Wanasumbuliwa Na CHUKI tu Kwa Nn IRAN Up to Sasa Wako IMARA Licha Ya Mashinikizo Yakiwango Chajuu Wanayakupambana nayo Miaka Na Miaka
Ila pia istoshe Nikwamba Wanaona WAYAHUDI Wanakumbana Na Chngamoto Kubwa Ambayo Chanzo Chake Ni Waajemi Hvyo Wanabakia Kubakia na Kuomba IRAN Ianguke
Wakati Haya Maandamano Yanaendelea Niliwakumbusha Yakwamba Mwaka 2009 Kulikua Na Maandamano Makubwa Zaidi Ya Haya Na Yalipita Na haya Yangepita tu Sasa hivi wamebakia Na PROPAGANDA Tu
Kiufupi Pro Western Wa Huku Afrika Mashariki Wanateseka Sana Na IRAN
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Nasio Yaliopita Nikwamba YELLOW VEST Bado Inaendelea FRANCEUnajua mkuu hawa watu ni wanafiki sana wamesahau maandamano yaliyopita ya ufaransa watu wengi waliuawa na pia vikosi vya usalama vilitumia gas ya sumu dhidi ya waandamanaji.....
Wamekuwa mabeberu tena siyo wahisani?Tanzania inapowatuhumu Mabeberu kuwahujumu, hao Mabeberu wanakuwa wapi?